Zimbabwe Yakubali Kipigo Jioniii
Kazi imeanza rasmi! Ndio, pazia la Kundi B la michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) lilianza kwa vishindo Jumatatu iliyopita, pale Mashetani Wekundu wa Misri walipolazimika kutumia akili ya ziada kuwachapa wapinzani wao shupavu, Zimbabwe, kwa ushindi mwembamba wa 2-1 katika Mtanange uliopigwa kwenye Uwanja wa Stade Adrar, Agadir, Mchezo huo ulikuwa ni…
